Kwaheri ya kuonana Dar es Salaam

Stroke umerudi kigoma ndani ndani unapanda gari kisha bajaji, kisha pikikiki, kisha una tembea,.kisha una tambaa ndo unafika
 
Mbn km huraki kurudi kwenu we mzee au kwakua masika unaogopa jembe la ng'ombe
Aisee huku mkoani kuna vituko sana.

Wanawahi kulala na wanachelewa kuamka.

Mvua zikinyesha hawatoki.

Ni maajabu.
 
Aisee huku mkoani kuna vituko sana.

Wanawahi kulala na wanachelewa kuamka.

Mvua zikinyesha hawatoki.

Ni maajabu.
Hahaha starehe kubwa uko ni kuzaa sasa km mvua inanyesha na hawatoki maana yake wako ndani wanakula uzazi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…