Kwaherini Jf Mm Naenda Shule

Kwaherini Jf Mm Naenda Shule

JOMAKIBU

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2015
Posts
538
Reaction score
70
Nawatakieni Kila La Kheri Wana Jukwaa Kwa Ushauri,maelekezo Na Mambo Yote Katika Kipindi Chote Tulichokuwa Tukisubiri Matokeo Hatimaye Post Za Advance Sasa Naachia Ngaz Rasm Tutaonana Likizo Zitakazofuata

Kwaherin Jamani!
 
Masomo mema. Weka juhudi katika elimu, japo kwa sasa hailipi sana kama zamani, lakini ni vizuri kuwa nayo, just in case. C unajua kila mtu na bahati yake kwenye soko la ajira?
 
Masomo mema. Weka juhudi katika elimu, japo kwa sasa hailipi sana kama zamani, lakini ni vizuri kuwa nayo, just in case. C unajua kila mtu na bahati yake kwenye soko la ajira?

Ahsante Sana Mkuu Kwa Ushauri Wako Nitaufanyia Kazi
 
Anyway kila kheri.Shule unayosoma haina computer na wewe unaenda form five computer mpakato huna.Utatoboa kweli?hata used?
 
Hata kama ni android phone tu unaweza ukaitumia kupata vitu vingi kwa ajili ya kukusaidia shuleni aidha kama hamruhusiwi ila kuna app na materials nyingi waweza kupata pitia android phone instead of whtsp or fb e.t.c

Zingatia masomo.

Kila la heri.
 
Nawatakieni Kila La Kheri Wana Jukwaa Kwa Ushauri,maelekezo Na Mambo Yote Katika Kipindi Chote Tulichokuwa Tukisubl Matokeo Hatimaye Post Za Advance Sasa Naachia Ngaz Rasm Tutaonana Rikizo Zitakazofuata
Kwaherin Jaman

Tutawamiss sana BRN,See ya Next Likizo
 
Anyway kila kheri.Shule unayosoma haina computer na wewe unaenda form five computer mpakato huna.Utatoboa kweli?hata used?

Sina Computer Wala Hata Siruhusiwi Kwenda Nayo Si Unajua Tena Hizi Shule Zetu Za Wakulima!
 
Hata kama ni android phone tu unaweza ukaitumia kupata vitu vingi kwa ajili ya kukusaidia shuleni aidha kama hamruhusiwi ila kuna app na materials nyingi waweza kupata pitia android phone instead of whtsp or fb e.t.c

Zingatia masomo.

Kila la heri.

Ahsante Sana Kwa Ushauri Wako Mkuu
Lakn Sim Ya Aina Yoyote Hairuhusiwi Shulen
 
Back
Top Bottom