GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Asante Mkuu ila huku inabidi niwe makini kwani 99% ya Majirani zangu ni wale Jamaa wa 92KJ walioko hapa Chuoni Kwao.Karibu sana Mapinga
Aaliyyah huyu tena! Ni wengi ajabuWana Mapinga Bagamoyo Mkoani Pwani GENTAMYCINE nasema kwa Heshima, Unyenyekevu na Taadhima kubwa sana kwenu kuwa Hodi Hodi na Hodi tena kwa mara ya Tatu.
Sasa tutakuwa pamoja kwa Shida na Raha kama ambavyo nilikuwa Kawe. Kwa Samaki wenu hawa Watamu wa hii Beach yenu nzuri ya Mchango wa Hela nasema Akhsanteni.
Kawe imeanznia Morocco mpaka Daraja la Mapinga! sasa ungekua specific 'Kawe' gani hasa unayozungumzia!Kawe huwa naona ni moja ya eneo wanaliishi watu wa hali duni na chini ktk maisha
Kawe kubwa mzee.Kawe imeanznia Morocco mpaka Daraja la Mapinga! sasa ungekua specific 'Kawe' gani hasa unayozungumzia!
Mtu akisema kawe ujue ni ukwamani kuleKawe imeanznia Morocco mpaka Daraja la Mapinga! sasa ungekua specific 'Kawe' gani hasa unayozungumzia!
Hiyo ya pili ndio kawe anayoizungumzia mwenye Uzi wake. Tofautisha kawe na jimbo la kawe ni vitu viwili tofautiKawe kubwa mzee.
Rain bow kule kote kawe hadi clouds kawe lugalo kawe yote hiyo Maana Kara ya kawe ina mitaa minne.
Mzimuni
Ukwamani.
Mbezi beach A
Mbezi beach B
Panda gari kashuke kaweKawe imeanznia Morocco mpaka Daraja la Mapinga! sasa ungekua specific 'Kawe' gani hasa unayozungumzia!