[emoji38][emoji38][emoji38]Sasa ile hela yangu.....???
Elimu ni ufunguo wa maisha...Hizi mbwembwe zingine.
kila la kheri wakusoma
asikutane na fala anaebadiri badiri kitasa cha maishaElimu ni ufunguo wa maisha...
Changamoto za maisha zinapasua watu vichwa.asikutane na fala anaebadiri badiri kitasa cha maisha
Njoo nisaidie maths physics na chemistry pleasee ndio masomo yangu.Usiogope kutekwa mimi nitakuwa baunza wako
Bahati nzuri mimi ni mwalimu, inapatikana wapi mwanafunzi wanguNjoo nisaidie maths physics na chemistry pleasee ndio masomo yangu.
Wikii hii napiga hayo masomo moja moja
Sasa ni chuo kikuu eti sio secondaryBahati nzuri mimi ni mwalimu, inapatikana wapi mwanafunzi wangu
Mkuu nimeiona hiyo nikahisi labda mwalimu wangu hakunifundisha,kwa uandishi huu wa "sow by for now" bora apotee tusow by for now
Haya kila la kheri mkuu
mimi ni binadamu hatari nikiwa PM bora tumalizane hapaNjoo pm
Kmimi ni binadamu hatari nikiwa PM bora tumalizane hapa
Hamna tatizo, nipe mawasilianoSasa ni chuo kikuu eti sio secondary
[emoji28] [emoji28] [emoji28]sow by for now
Haya kila la kheri mkuu
AiseeSasa ile hela yangu.....???
vipi MkuuAisee