Kwaherini ndugu zangu wa JF

ukaongezeka na wewe, unafikiri kwanini Yesu akipenda sana kuhubiri Galilaya na ndipo alipofanya miujiza mingi ilifanyika
Mmh, nasita kukubali kwamba hapa ni Galilaya.
 
Umeniangusha sana mtumish

Unakimbia kazi ya MUNGU?
 
Ooh, Kila la heri mkuu... Shabiki mkereketwa hapa wa nyuzi zako😊😊😊
 
Kwa mada alizokuwa anaandika ku survive JF inahitaji gamba gumu sana na imani kuu.. Zilikuwa ni mada za vita na falme za giza.. Ni vita ngumu sana. Kumpokonya shetani waumini
Asingetoboa maana alikuwa anajitukuza na kujikweza sana. Ilimpasa awe mwalimu lakini aliamua kujiinua sana.

Ningemshauri akajipange kwa Upya na aangalie watu wanavyofanya kazi kama Vlad Savchuk

Setfree
 
Mkuu Setfree chunga sana usije ukaja na ID nyingine ambayo utakuwa unaitumia kuchangia masuala mazima ya kusakata mbususu.

Yote kwa yote kila la kheri sana
 
Na ishara kwamba umemaliza kumtumikia Mungu na kusudi ni kulala (kufa).
Kama hujalala jua tu Injili lazima isonge mbele,kazi ya Mungu haina likizo.
Sure, hakuna kupumzika, ila hatutakiwi kuhubiri Injili eneo moja tu. Tunatakiwa kwenda ulimwenguni pote.
Mk 16:15-16
Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe. Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.

JF haina uwezo wa kuwafikia watu wote duniani
 
Ni kweli jf haiwafikii watu wote duniani ila unaweza kuwafikia watu wote ulimwenguni huku ukiendelea na injili hapa Jf.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…