Kwaherini ndugu zangu wa JF

Amen.
 
Sio rahisi sana. Jambo la kumshukuru Mungu ni kwamba wamesikia. Hivyo hawatakuwa na la kujitetea siku ya hukumu
“Kwa kuwa sikujiepusha kuwatangazia shauri lote la Mungu.” (Matendo 20:27)
Siyo rahisi ila kwa msaada wa Mungu utaweza.

Ni vema wakiendelea kusikia .
 
Unaenda kuenjoy huko
 
Ngoja sasa niku- follow kabisa, ukirudi tena nisikose nyuzi zako ❗

🙏
 
Da nimelia sana,waislamu wengi wameokoka humu jf kupitia wewe,sasa unavyoondoka humu kutageuka msikiti na kuwa sehemu ya kutamba kina kobazi wakiongozwa na kobazi jenerali Covax
 
Kwa mada alizokuwa anaandika ku survive JF inahitaji gamba gumu sana na imani kuu.. Zilikuwa ni mada za vita na falme za giza.. Ni vita ngumu sana. Kumpokonya shetani waumini
Huyu haondoki JF bado yupo sana hapa anatupima zile mada zake tunazipenda sana aendelee vilevile
 
Da nimelia sana,waislamu wengi wameokoka humu jf kupitia wewe,sasa unavyoondoka humu kutageuka msikiti na kuwa sehemu ya kutamba kina kobazi wakiongozwa na kobazi jenerali Covax
Haondoki huyo mtumishi yupo sana
 
Asante Rebeca 83 sijakwazika
“Wana amani nyingi waipendao sheria yako, Wala hawana kitu cha kuwakwaza.”
(Zaburi 119:165)
Nakushukuru pia umekuwa ukigonga "thanks" nyingi kwenye nyuzi zangu. Till next time 👋🙏
Till next time wapi, sisi wajomba zako humu tunataka vijukuu humu hujapata hata mume unataka uondoke unaenda wapi mama mtumishi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…