Kwaherini ndugu zangu wa JF

Setfree huwezi kushindana na mwanadamu mwenye kinywa tuna maneno sana na tunajua kama tunajua mengi lakini Yupo YEYE,
 
UEnde kwa amani.kwani tokea mwanzo.sikuwa naelewa unataka nini??
 
Watu wanasema shule zimefunguliwa kwahiyo unarudi shule, wanasema shule unayosoma hawaruhusu simu.
Yanaukweli hayo?
 
Setfree injili inatakiwa kisonga mbele haijalishi changamoto zilizopo. Labda uwe na sababu zako Tu za kuondoka JF lakini kama ni kuhusu member wa humu basi hawa ndio watu sahihi Mungu aliokutuma uwaletee habari njema au unataka wale tu watakaoitikia AMINA chochote utakachoandika bila kuhoji? Bwana awe nawe urejee na waraka wa Amani
 
Umesahau kuandika kisukuma aisee


🤣🤣🤣
 
Amen MUNGU akujalie maisha marefu na Yenye baraka
 
Mama mchungaji kama umefanikiwa kuanzisha Ministry naomba unichukue na mimi ili nije kukusaidia kukusanya maokoto. Nimechoka kufanya hii kazi ya kung'atwa na mbu kila siku, kwa miaka 50 sasa!
 
Changamoto za Jamii forum tu mnashindwa kuvumilia, je huyo mnayemuita shetan ambaye hata hamumjui zaidi ya kusimuliwa, hivi huyu kiumbe akitumia hata robo ya uweza wake, mtaweza kuhimili??😅😅.

Kutangaza injili za kuletewa lazima ujitoe akili kukubaliana na kila changamoto kutoka kwa watu wanapohitaji proof ya imani yako.

Huyu mtoa mada imani yake ni kiduchu sana, anatakiwa kustruggle hasa, mitume wenu mbona walikuwa ngangali?.

Why are you running??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…