Kwaherini ndugu zangu wa JF

You need a real man like me to sex you up everyday ..in couch, in bed, in bath tub, in stairs, in kitchen so you will stop being like the way you are...text me pm darling ..we need to fuckk...
 
Nimemuona huku kuzimu mtu kama wewe,karibu sana,yaani kumbe mikwara miiiiingi kumbe hakuna lolote,mbinguni huendi.

Ulifanya nini kwani huko duniani hadi Sir God hajataka kukupeleka paradise?
 
Kwan kosa la huyu mtu ni lipi? Yeye kutangaza neno la mungu au vip? Sijaelewa harsh words mnazomtolea jaman haikua lazma kusoma post zake lakin haya maneno manayo mtolea sio ya ubinadam sidhan kama alimkosea mtu
 
Pumzika kwa amani mkuu
 
Kwakweli ukiwahiwa unapona kabisa. Daima wanasema kila kitu kinahitaji kiasi, na kutopea kwenye jambo fulani ni aina ya ulevi ambao huelekea kwenye uharibifu mkubwa.
Hizi dini tuziheshimu kwa kusaidia kuleta ustawi wa kijamii, amani na utulivu.
Ila kwa unapoelekea naona anguko lako kuu hapo mbele. Waliowahi kuwa karibu na watu wa aina yako pekee ndiyo wataelewa kitu gani namaanisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…