Kafungue kesi mahakani πHivi kuipa heshima Taifa la Tanzania ni kurudi na medani ya CAFCC tu? kwamba hata waliofika robo fainali CAFCL kombe la wakubwa huku wakiwa Visit Tanzania hakuonekana kuitangaza na kuiletea heshima Taifa kweli.
Mbona hayakufanyia haya upande wa Simba SC, kuliko sasa tunayoshuhudia kwa Yanga, ruti za ndege hadi ligi za ndani na hafla Ikulu.
π π€£π π€£π π€£ watoto wa mwisho kwa kulalama..!!! Fikeni fainali mpate mnayoyalilia..!!!Hivi kuipa heshima Taifa la Tanzania ni kurudi na medani ya CAFCC tu? kwamba hata waliofika robo fainali CAFCL kombe la wakubwa huku wakiwa Visit Tanzania hakuonekana kuitangaza na kuiletea heshima Taifa kweli.
Mbona hayakufanyia haya upande wa Simba SC, kuliko sasa tunayoshuhudia kwa Yanga, ruti za ndege hadi ligi za ndani na hafla Ikulu.
bob visit tanzania inaweza kuvaliwa hata na timu zote za ligi kuu,ila fainali inachezwa na timu mbili,TUMIA BRAINHivi kuipa heshima Taifa la Tanzania ni kurudi na medani ya CAFCC tu? kwamba hata waliofika robo fainali CAFCL kombe la wakubwa huku wakiwa Visit Tanzania hakuonekana kuitangaza na kuiletea heshima Taifa kweli.
Mbona hayakufanyia haya upande wa Simba SC, kuliko sasa tunayoshuhudia kwa Yanga, ruti za ndege hadi ligi za ndani na hafla Ikulu.
Hata wewe wa kubeza vya Yanga!!inashangaza
Mnaandika visit Tanzania......huku mnaroga Kwa kuwasha moto kwenye viwanja vya watu [emoji23][emoji23][emoji23]....
Mnaitangaza vip nchi yetu[emoji23][emoji23]
Timu zote za Tanzania ndo zinashiriki game za Kimataifa? Ndo umesema kitu hapo, kwani Simba wakati anavaa Visit Tanzania alikuwa kwenye ligi kuu bara? We Jike Dume.bob visit tanzania inaweza kuvaliwa hata na timu zote za ligi kuu,ila fainali inachezwa na timu mbili,TUMIA BRAIN
Hata wewe wa kubeza vya Yanga!!
Yaaah mkuu...... that's y umbu mbu mbu ni kipajiWaliandika visit Tanzania halafu wakenda kukaa uchi na kuwanga kwenye nchi za watu, walituvunjia heshima kama nchi
Hii ilichangia kupunguza idadi kubwa ya watalii waliokuja Tanzania!Mnaandika visit Tanzania......huku mnaroga Kwa kuwasha moto kwenye viwanja vya watu [emoji23][emoji23][emoji23]....
Mnaitangaza vip nchi yetu[emoji23][emoji23]
Thubutuu,labda waombe corona irudi tena wapate mseleleko kama ule tenaπ π Swahiba Ili asiteseke zaidi na wao wafike fainali next season.