Kwahiyo GSM ndio alitakiwa amkabe Mbangula?

Pweza Boy

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2017
Posts
1,395
Reaction score
3,177
Naona mashabiki hoyahoya wa Simba wanalalamika eti GSM anaharibu ligi yetu kwa kudhamini klabu nyingi.

Baada ya kushindwa uwanjani mabwana wale wamehamia kwa GSM kumlaumu anadhamini timu nyingi.... wakati SportPesa anadhamini Simba, Yanga, Namungo na Singida mbona hukusikia hizi kelele?

Tengenezeni timu acheni kulialia
Watu wa Simba wengi ni wajinga sana. Hawakumbuki hata kuanzia 2015 kurudi nyuma kuna timu za ligi kuu zilikua zinakwama mahotelini mara zinakosa usafiri, kusikia Majimaji imekwama hoteli fulani au imeshindwa kusafiri ilikua kawaida sana... kuna miaka kusikia Niyonzima amegomea mechi kisa hajalipwa mshahara miezi mitatu ilikua kawaida sana...

Kusikia sijui Okwi amegoma mpaka amaliziwe pesa za usajili ilikua kawaida sana. Sikuhizi HAKUNA !! timu almost zote zina wadhamini na zinaweza kujiendesha. Changanoto imebaki viwanja na waamuzi tu.

Halafu yanatokea majitu mapumbavu yana timu mbovu yanamuangushia lawama GSM! kwahiyo GSM alitakiwa amkabe Mbangula??
 
Unaongea kama fala, Mada za kijinga, umekosa cha kupost unatunga mada za kipuuzi, mada za kwenye vijiwe vya kahawa pelekeni kwenye kahawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…