Kwahiyo Kigaila na Mwalimu ni Paka na Panya! Leo anamuita Mwalimu Samaki aliyeoza kwenye tenga

Maajabu ya tanzania na ccm ni yale niyoona Nigeria kuanzia mganga wa kienyeji mpaka shaikh neno "JESUS" ndio kama huku tanzania "mungu wangu".
 
Améoza Mwalimu
 

Attachments

  • downloadfile-28.jpg
    158.2 KB · Views: 9
Kwamba ule msemo kuwa samaki mmoja akioza wote wameoza si kweli. Mwalimu ameoza , anatolewa, wazima wanabaki.
Mshirika wake mkubwa leo anamuita samaki aliyeoza.
Kuna siku na yeye ataoza

View attachment 3619904
Kilichowakorofisha ni kile kile alichokitabiri Mwalimu Nyerere... Ubaguzi kati ya Unguja, Zanzibara na Tanganyika!
 
Jambo lililokusudiwa lilishapita, kinachofanyika sasa ivi ni kutaka kutuaminisha kwamba hawa wenzetu ni wapinzani wa kweli.
Mpango ulikuwa ni kuhalalisha uchaguzi na umefanikiwa. So, sio Salum wa Chauma mwenye cha kupoteza hapo. Tuliopoteza ni sisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…