GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Katika Mtandao wa Sokavibe6 ameonekana Kocha Ibenge akiwa na Ali Kamwe na Privaldinho kutoka Yanga SC akisema kuwa Simba SC huwa wanaweka Dawa Vyumbani kwa Mkapa ili kuzifunga Timu za Kigeni na kwamba Yanga SC huwa hawana huo Utaratibu.
Huu ni Udhalilishaji mkubwa na kutaka tu kuichafua Klabu ya Simba hivyo naushauri Uongozi wa Simba SC imchukulie hatua za Kisheria haraka mno.
Tunajua kuwa Kocha Mnafiki Ibenge ana Hasira za mara Mbili kuomba Kazi ya Ukocha Simba SC na Kutoswa baada ya Kocha Mkongo mwenzie (mwenye Mke Tajiri sana Marseille Ufaransa) aliyepanga katika Apartments za Tapeli wa Kiroho Tanganyika Packers Kawe mita chache na Barabara ya Mwai Kibaki kuwaambia kuwa Kocha huyo ni mwana Yanga SC lia lia na kwamba hata 50% ya Wachezaji wa Congo DR wanaokuja Yanga SC huwa ana 10% yake.