Kwahiyo kumbe tarehe 8 August, 2024 tulijua iwe isiwe Tutafungwa nao tu ndiyo maana tukaandaa Mashabiki wa Kutetea Kikosi ili Kutuliza hali?

Kwahiyo kumbe tarehe 8 August, 2024 tulijua iwe isiwe Tutafungwa nao tu ndiyo maana tukaandaa Mashabiki wa Kutetea Kikosi ili Kutuliza hali?

Nimeshangaa sana mashabiki wa Simba kuangukia kwenye mtego wa ma influencers kuhusu team Yao ila si ajabu acha ligi ianze maji na mafuta yatajitenga Kuna viwanja viko mkoani huko sioni wachezaji wa Simba Wala Azam wakitoboa angalau yanga wanavijua
 
Siku hizi popoma amestaarabika, anaongea points tu.
Hongera sana popoma
 
Halafu Wenzetu wakiwa Kutwa wanatucheka JF kuwa hatuna Akili tunakuja hapa Kuwalaumu wakati wako sahihi 100%.
Mimi Mtoto wa Shule ambaye ni Shabiki Lialia wa Simba na nikiwa na akili timamu kabisa, naahidi humu JF ya kwamba kuanzia leo mimi Mtoto wa Shule SITAKOMENTI CHOCHOTE kwenye post yoyote ya GENTAMYCINE inayohusu Simba Sports Club. 🙏🙏🙏🙏
 
Hapa hujakomenti?
 
Kwa hiyo na mwaka huu pia maumivu yanaendelea tena pale Msimbazi? This is not fair.
Nadhani haya mapito yatachukua miongo kadhaa, ni vizuri makolo wa pale mbumbumbu street mkubali na mzoee kipigo!!

utabiri wangu Yanga bingwa kila siku kila kombe hadi ile siku huko 2032 Mazeri akirudi kizim maana ana upepo nasi utopolo tu! .
 
Back
Top Bottom