J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Jan 7, 2025 #1 Nauliza tu ndugu Zangu maana miye ni mgeni hapa Kilombero Arusha Gambo anesema Vikao vyake viko bungeni ndio nawaulizeni machalii wa Arachuga huyu Mwamba siyo diwani? Nimekaa pale 🐼
Nauliza tu ndugu Zangu maana miye ni mgeni hapa Kilombero Arusha Gambo anesema Vikao vyake viko bungeni ndio nawaulizeni machalii wa Arachuga huyu Mwamba siyo diwani? Nimekaa pale 🐼
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Jan 7, 2025 #2 Mrisho Gambo ana wasiwasi Makonda anaweza kugombea Arusha
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Jan 7, 2025 #3 johnthebaptist said: Nauliza tu ndugu Zangu maana miye ni mgeni hapa Kilombero Arusha Gambo anesema Vikao vyake viko bungeni ndio nawaulizeni machalii wa Arachuga huyu Mwamba siyo diwani? Nimekaa pale 🐼 Click to expand... Ndiyo ujue CCM ina watu wajinga haswa
johnthebaptist said: Nauliza tu ndugu Zangu maana miye ni mgeni hapa Kilombero Arusha Gambo anesema Vikao vyake viko bungeni ndio nawaulizeni machalii wa Arachuga huyu Mwamba siyo diwani? Nimekaa pale 🐼 Click to expand... Ndiyo ujue CCM ina watu wajinga haswa
Intelligence Justice JF-Expert Member Joined Oct 23, 2020 Posts 3,443 Reaction score 4,006 Jan 7, 2025 #4 johnthebaptist said: Nauliza tu ndugu Zangu maana miye ni mgeni hapa Kilombero Arusha Gambo anesema Vikao vyake viko bungeni ndio nawaulizeni machalii wa Arachuga huyu Mwamba siyo diwani? Nimekaa pale 🐼 Click to expand... Ni mjumbe katika baraza la madiwani Mfano huu hapa kwa mjibu wa sheria
johnthebaptist said: Nauliza tu ndugu Zangu maana miye ni mgeni hapa Kilombero Arusha Gambo anesema Vikao vyake viko bungeni ndio nawaulizeni machalii wa Arachuga huyu Mwamba siyo diwani? Nimekaa pale 🐼 Click to expand... Ni mjumbe katika baraza la madiwani Mfano huu hapa kwa mjibu wa sheria