G4rpolitics
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,369
- 5,248
Ni wa kuonea huruma, yaani akibahatika kumgonga APR ya Rwanda, yupo Mayele na Pyramid inamngojea, sawa waswhili wanasema mpira huwa unadunda lakini siyo kwenye tope.
Azam huko ungeachia wazoefu, Asante kwa kushiriki in advance. Nawasilisha.
Azam huko ungeachia wazoefu, Asante kwa kushiriki in advance. Nawasilisha.