Kwahiyo tunaachana na Wachina 'tunajibebisha' kwa Wamarekani ili Waichukue Bagamoyo kama walivyoichukua Kigamboni?

Kwahiyo tunaachana na Wachina 'tunajibebisha' kwa Wamarekani ili Waichukue Bagamoyo kama walivyoichukua Kigamboni?

Kwakuwa mmeamua hivyo siyo mbaya!!!
Hao matapeli wa Kichina wameshawaingiza Chaka Sri Lanka na Zambia..Zambia nao wamejibebisha kwa America kwa kumpa mamihodo ya kutosha Ili wajikwamue..

Kama unawapenda hao Matapeli wa Kichina wapeleke kwenu Rwanda..

Wameichukua Kigamboni wakaipeleka wapi? 👇
 
Attachments

  • 4949470-cce5b1dbde37684b599020d10b6131be (2).mp4
    13 MB
Hata akipewa Mhindi, bado ni shida zangu ziko pale pale... Ila anafaidika jamaa na familia yake waliwekeza viwanja huko maeneo ya karibu.
 
Zambia wenyewe wameamua kuwakacha wachina sasa migodi ya kopa kwa America,wewe ni nani hadi ujisogeze kwenye mdomo wa mamba?👇

Screenshot_20220512-130933.png
 
Aisee bora Wamarekani. Haya mataifa ya Asia hayafai. Wakipewa Wachina unaweza kuta hakuna mtu atapata mshahara zaidi ya milioni mmoja. Hao jamaa wanatuonaga WaAfrika kama mbwa tu
Unahisi serikali imekosea kuwapa bandari wachina?

Marekani wala haitaji bandari hapo wao wapo tayari tu kutoa ushauri kwa serikali Kama serikali wakitaka. Ila waliopewa hapo ni wachina na wataendelea na mpango wao
 
Hao matapeli wa Kichina wameshawaingiza Chaka Sri Lanka na Zambia..Zambia nao wamejibebisha kwa America kwa kumpa mamihodo ya kutosha Ili wajikwamue..

Kama unawapenda hao Matapeli wa Kichina wapeleke kwenu Rwanda..

Wameichukua Kigamboni wakaipeleka wapi? [emoji116]
Unamaanisha serikali iachane na mpango wa ujenzi wa bandari bagamoyo?
Kwa maana wachina ndio wataojenga na kuichukua
Marekani haitaji bandari hapo, yeye ameba tu kutoa ushauri ikiwa serikali itataka.
 
bora mmarekani kuliko mchina
Unamaanisha serikali isitishe mpango wa kujenga bandari bagamoyo?

Marekani haitaji bandari na Wala hawana mpango wa kuhitaji. Wao walisema wapo tayari tu kutoa ushauri endapo serikali itawaomba
 
Bora hao wanaojali haki za binadamu kulikon wachina na ujira wao wanaotulipa ss wtz Mara Mia nzungu apewe kila mradi kuliko hao vimbilikimo
 
Bora hao wanaojali haki za binadamu kulikon wachina na ujira wao wanaotulipa ss wtz Mara Mia nzungu apewe kila mradi kuliko hao vimbilikimo
Nimeuliza wengine huko juu, ngoja na ww nikuulize. Unamaanisha serikali haipaswi kuendelea na huo mradi? Kwa maana ni mradi wa wachina na utafanya na wachina
 
Unamaanisha serikali iachane na mpango wa ujenzi wa bandari bagamoyo?
Kwa maana wachina ndio wataojenga na kuichukua
Marekani haitaji bandari hapo, yeye ameba tu kutoa ushauri ikiwa serikali itataka.
Mzee nani kasema wanaachana na mpango wa Ujenzi wa bandari? Bali wanaweza Muongeza US kamaMshirika Mwenza wa Tanzania..

Hata hivyo pale Bagamoyo sio bandari tuu bali na EPZ,logistics,Utalii, industrial City nk
 
Ngoja nibadilishe swali pengine unaweza kunielewa, ikiwa mchina ataendelea Kama ilivyopangwa, unashauri serikali kuachana na mradi huo?
US haitaji hayo, US ni kutoa ushauri endapo serikali itataka.
 
Back
Top Bottom