Makonde plateu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,443
- 3,480
Bila shaka kama lisingekuwa Ile mistake ama hakika leo tungesema mengine labda after 5 year kwa majaliwa ya Mungu ningekuwa next Bakhresa kwenye maisha yangu ila ndiyo hivyo nilikosea kuna muda najilaumu ila kuna muda pia namshukuru Mungu kwa namna kama nimekosea kwa ujana na umri huu ama hakika ningekuja kukosea pakubwa sana miaka ijayo wakati tayari umri umeenda ila namshukuru mungu for everything.
Ama hakika nilikosea kumuamini yule mtu lakini pia namshukuru bila yule akili yangu is ingekuwa mature kama ambavyo leo akili yangu ipo imekomaa na ipo strong siyumbishwi na fikra yoyote au kidudu mtu yoyote yule what happen to me namshukuru Mungu kwa kila kitu kupitia yule mjinga akili yangu ipo well matured!
Thanks God for everything.