Kwahiyo tunakubaliana Yanga alikuwa hanunui Match bali ni team yetu imeoza si ndio?

Kwahiyo tunakubaliana Yanga alikuwa hanunui Match bali ni team yetu imeoza si ndio?

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2019
Posts
2,224
Reaction score
4,472
Habari mwanajukwaa.
Jana kwa jirani moto umeanza kuwaka kumbe ule moshi ulikua unavuka ndani kulikua na moto hatukujua tu.😂

Zile ngonjera za kuwafunga kina GB 64 na kusema wanaihujumu timu.

Mara kuna watu wanavaa jezi za simba wanaisema vibaya makusudi.

Mara Yanga ana nunua Match na kahonga Hadi zile 5-1.

Zote hizi na zingine zile zilikua propaganda ila ukweli saivi mmeanza kuuona.

DOMINIKA NJEMA.
 
Mo Tapeli😂
Mo sio tapeli, pale janja janja zimezidi ndo maana Mo anasimama kutoa hela hivi sasa.
Wewe mtu mnajenga team alafu watu wanataka kumleta Onditi, hata ungekuwa Mo ungetoa hela zako kumsajili Onditi kweli..?
Ndo yale yale ya kuwaleta kina Hussein Kazi.
 
Back
Top Bottom