THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
Leo Siku Tukufu natoka zangu chachi now..we unawaza kuamkia kula tu.Ushakunywa chai kijana?
Mo Tapeli๐Wameanza kumlipua janja janja yake, Kanjibai,hakuna cha B20 wala ushuzi, zaidi yeye ndiye anaidai timu.
7-2๐Kama Yanga alikuwa ananunua mechi, basi hata wenyewe walinunuliwa baada ya kupigwa kichapo kizito cha nje ndani.
Mo sio tapeli, pale janja janja zimezidi ndo maana Mo anasimama kutoa hela hivi sasa.Mo Tapeli๐