jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 22,569
- 43,614
Mzee watu wasipo kaza Tuta struggle vibaya sana Hawa watu wamesha nogewa Kwa uhuni wanao ufanya , Nyerere aliwahi kusema ukilaa nyama ya mtu hauwezi kuacha ,, Tafsiri ni kwamba Ukiwa muuaji hauwezi kuacha uuajiKwa namna alivyo liongelea suala ka uchaguzi wa tarehe 29 na matokeo yake, ni dhahiri wapigania haki tunatakiwa kupambana mpaka mwisho dhidi ya hili genge hatari la wahuni.