Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ni mapema sana kwa mtu kama mimi kukubaliana na hizi shutuma zako. Maana timu ina zaidi ya mchezaji mmoja kwenye kila namba.
Hivyo mwalimu ndiye mwamuzi wa mwisho wa kuamua nani aanze, nani akae benchi. Na mwisho wa siku kinachotakiwa ni timu kupata matokeo. Na si vinginevyo.
Kumbuka Yanga siyo kama timu yako ya simba, ambayo Moses Phiri na Chama wasipocheza, basi kelele nchi nzima! Yaani utafikiri hakuna wachezaji wengine mbadala!!
Hapa sioni team
wewe unaweza kucheza?Baada ya mshambuliaji Mayele kuuzwa kwa lazima tukatangaziwa kwa mikogo mingi na huyo kijana anayeitwa Kamwe , kwamba timu hiyo italeta striker wa hatari !
Lakini Ukweli ni kwamba Waliosajiliwa ni magarasa tu , hamna kitu na ndio maana wanachomeshwa mahindi
View attachment 2723005
Ajabu kana kwamba magoli ya leo kafunga yeyeEti timu haina mshambulia hatari ilihali kuna mshambuliaji amefunga,ndugu tuachie timu yetu
Hata mayele alianza kama mchicha.Tuwape muda bado sana kumaliza maneno
Hapa hamna team no wonder tumepoteza kombe kirahisi tu kwa Simba ilivyokuwa inajitafutaHaijalishi tungeshinda moja cha muhimu ni ushindi kama hutaki kajinyonge
Ujui mpira kabisa wewe bure kabisa..Hapa sioni team
Mayele alipofika Bongo mechi ya kwanza tu alikiwasha hadi unajua huyu fundiTuwape muda bado sana kumaliza maneno
Hiyo unayosema hakuna ilikupiga 2 kwenye ligi na Ngao ya jamii ukaambulia hewaKwa mpira ule dhidi ya dodoma pale timu hakuna kabisa..