Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Kwahiyo ili kujustify zuio la mikutano ya CHADEMA mkaona mtufanyie haya maigizo ya kuzuia mkutano wa CCM!🙄🙄
CCM na Polisi hivi mnafikiri wananchi hawa wa leo ndio wale wale mliozoea kuwaendesha kipuuzi kama ng'ombe miaka nenda rudi? Yaani mnakuja na mbinu za kipuuzi ambazo hata watoto wakiangalia wanatikisa kichwa halafu ndio mnaona mnafanya vizuri wenyewe!
Pia soma: Polisi yaizuia Mkutano wa CCM kufanyika Ngorongoro
No wonder mnatumia kila njia possible kuhakikisha hamchomoki maana mfano mnaoweka ni dhahiri dola ikishikwa na mwingine mtachakaa sana, mna rundo la skeletons huko kwenye kabati zenu.
Hlafu polisi muache hiki kisingizo cha "sababu za kiitelijensia", "kutokana na usalama wa taifa" mnatuangusha kuendelea kutumiwa kila kukicha wakati mnabidi muwe upande wa wananchi.