MakinikiA
JF-Expert Member
- Jun 7, 2017
- 5,104
- 6,827
Hakika hii nchi takatifu sana kwa mazito niyaonayo Mimi lakini Watanzania masikini na unyonge wao hawana la kusema hata kumtaka MTU flani aondoke madarakani hakuna.
Kama haya yanavumilika basi nchi ni takatifu sana.
Kuna nchi mkate ulipanda bei wakaamua kwenda kula mikate ya kiongozi wao.
Mimi binafsi nimeupenda huu upole wa watanzania na tuendelee hivihivi mpaka wajukuu wasome historia zetu za kukaa bila umeme na kiu ya maji na vyanzo tunavyo wenyewe Ila kwa sababu ya UPUMBAVU wa viongozi.