Planet Data bundles
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,403
- 4,362
Vyuma vimekazaCcm watamlipia
Ova
Au n blog hazilipiCcm watamlipia
Ova
Inaweza kuwaAu n blog hazilipi
Kama na blog inalipa kwann asilipieAnapiga hela za YouTube na Instagram
Ebooo anapokeaKuna mmoja Jana alisema Millard ayo anaingiza mpunga mrefu kweny media yake Ivo tuachane na kilimo tukawe kama Millard
Hilo nilikua sijuiMbona hushangai Mo kutelekeza mashamba ya kahawa Rungwe?
Biashara ni mipango yenye faida kutokana na uwekezaji.
Ndo nimeingiamkiacha unafiki, nyie mara ya mwisho kuitembelea hiyo website ni lini?
Mkuu cha kuongezea wivu , uchawi na ushoga vinaenda pamoja an parallelBasi hapo roho yako kwatu, bongo uchawi mwingi sana, uzuri wake vibunda tunavipiga kimya kimya!
Sio Kahawa tu hata mashamba ya Chai huko Tanga nako ametelekezaMbona hushangai Mo kutelekeza mashamba ya kahawa Rungwe?
Biashara ni mipango yenye faida kutokana na uwekezaji.