Kwajinsi nilivyo aibika siku hii nimekoma kufata fata watu..

Duuuh we jamaa, umeamua kuwa hiv?!
hii ndio mbinu ya kuwapata mademu wa jf mkuu"" akibaki katika yale majukwaa ya yenye kutumia akili nyingi "" ataishia kuwa mpnzi mtazamji tu""
 
Ukienda Kwa watu usilale[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…