Kwako Afande Muroto RPC wa Jiji la Dodoma zingatia hili mkuu

4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2019
Posts
8,406
Reaction score
9,619
Naenda moja kwa moja kwenye hoja Mkuu.

Kwanza nikupongeze kwa jinsi unavyo pambana na wizi makao makuuu hapo Dodoma na sina shaka utendaji wako mkuu tangu ukiwa Mwanza

Ila leo nataka nnikuongezee taarifa pale Dom mjini jengo la Bima karibu mkono wa kushoto kama unakuja lilipo jengo la LAPF la zamani ipo tetesi magari yanayo pack pale huwa ya wizi mkuu.

Fanyia kazi ujumbe huu sina la ziada
 
Sory mkono Wa kulia toka bima mbele ya bima kuanzia pale kwa dogo mmoja anauzaga sigara na vitu vidogo dogo ila yuko pemben kidogo na barabara cha kivumbi toka nyerere square hapo panasadika unaweza nunua gari kwa bei che kukodi hata mwezi lakin sina huakika
 
Wamekudhulumu mgao umeamua kuwachoma. Hivi kwa akili zako unadhani Polisi hawawajui hao wezi? Wanakula wote!

Siku wakiacha kula na polisi ndio watakamatwa. Bongo unatakiwa kutumia bongo!
Sijui matusi ningekua najua ningetusi mpaka ukome ,ujira wangu wanitosha pumbafu ila samahani,wenda we ni mmoja wao
 
Asante kwa KUNIHONGEZEHA TAHALIFA..!!!

Ungepambana kwanza kujifunza kuandika vizuri, kuliko kuingilia kazi za polisi...!!!
 
Hata kariakoo kuna gerezani na MA IGP na MA RPC wa awamu zote wanapajua kwamba ukiibiwa vifaa vya gari DAR unaenda kuvinunua tena.
 
Kuna uwezekano mkubwa
 
Ebu ngoja nianze uchunguzi binafsi kwenye hili
 
Aisee sarufi inamushikeli. Nikuhongezehe= Nikuongezee
Tahalifa=Taarifa
Taarifa yako ni nzuri lakini.
 
Asante kwa KUNIHONGEZEHA TAHALIFA..!!!

Ungepambana kwanza kujifunza kuandika vizuri, kuliko kuingilia kazi za polisi...!!!
.mimi sio mhadashi wa habari kwamba kila herufi nizingatie ,vipi nawe mmja wao ?pole mkuu ,upo pale mtandao mkubwa siku ikifika nitkabidhi muroto siku yaja japo kwa sasa yapo majukum ya kiofisi nipatapo ugali wa familia ,kama ni mmoja wao utakoma
 
Asante kwa KUNIHONGEZEHA TAHALIFA..!!!
Ungepambana kwanza kujifunza kuandika vizuri, kuliko kuingilia kazi za polisi...!!!
Kwani kutoa tetesi kwa vyombo vya ulinzi ni jinai ? We Wenda ni mmoja wao mpuuzi mkubwa na sio lazima kila post u reply ,zingine kama hazikuhusu au una mada kaa kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…