Kwako babu seya: tutawapa mtaji wa ml.300 hivi pigeni mziki wenu kwa Mara ya kwanza uwanja wa Taifa kiingilio 10000

mbere

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
6,967
Reaction score
6,465
Najua hamna vyombo tena na mambo mengine ya kuanzia life.
Kiingilio tupigeni 10000
Natarajia Wataingia watu zaidi ya 50000
Jumla mtapata zaidi ya 500,000,000/=
Ukitoa kodi na matumizi kama matangazo n.k yaweza kuwa 200,000,000/=

Ml. 300. Za Mtaji tutawapa kiivyo.
Kazi kwenu
Karibuni sana mtaani wakuu.

Lakini mtaweza kuzunguka Tanzania nzima ili kufikia lengo
Kwanza
Arusha
Mbeya
Moro
N.k
 
Kumbuka sio raia wa tanzania hvyo awali ya yote wanapswa waombe kibali maalumu cha kazi husika. Ikumbukwe pia kibali chao cha kuishi nchini ama kufanya kazi bila shaka kitakuwa kimeishamalizika muda wake let alone kuwa nullified kwa kosa mahakama iliyowatia hatiani.
 
kumbe sio watz,ndo naskia leo
 
Kumbuka sio raia wa tanzania hvyo awali ya yote wanapswa waombe kibali maalumu cha kazi husika. Ikumbukwe pia kibali chao cha kuishi nchini ama kufanya kazi bila shaka kitakuwa kimeishamalizika muda wake let alone kuwa nullified kwa kosa mahakama iliyowatia hatiani.

Kama kapata Msamaha kwa kosa la Ulawiti hawezi kukosa Msamaha wa kuishi Nchini bila ya kibali!
 
Kama usemayo ndio hivo basi tutegemee warudi kwao,sidhani kama watapenda kubaki au sheria kuwaruhusu
 
Kumbuka sio raia wa tanzania hvyo awali ya yote wanapswa waombe kibali maalumu cha kazi husika. Ikumbukwe pia kibali chao cha kuishi nchini ama kufanya kazi bila shaka kitakuwa kimeishamalizika muda wake let alone kuwa nullified kwa kosa mahakama iliyowatia hatiani.
Babu Seya alishakuwa mtanzania zamani tu baada ya kuukana uraia wa Congo miaka kadhaa kabla hajapata msala. Orchestra Marquis Company "OMACO", kitu cha kwanza walichopigania ni kusaka uraia wa wanahisa wake katika kipindi kile cha mafanikio yao. Wakati ule wa akina Mwema Mudjanga, Mukumbure Lulembo " parash", Mbuya Makonga "Adios" Kasongo Mpinda, Chinyama Chiyaza "chichi' Mulenga Kalonji nk. Labda kama waliporwa haki yao hiyo. Vinginevyo Papii Kocha ni Mtanzania wa kuzaliwa na hasa kama alifanikiwa kuukana uraia wa mzazi/wazazi kama alikuwepo mmoja wao asiye mtanzania ili kutimiza matakwa ya kisheria
 
Najua hamna vyombo tena na mambo mengine ya kuanzia life.
Kiingilio tupigeni 10000
Natarajia Wataingia watu zaidi ya 50000
Jumla mtapata zaidi ya 500,000,000/=
Ukitoa kodi na matumizi kama matangazo n.k yaweza kuwa 200,000,000/=

Ml. 300. Za Mtaji tutawapa kiivyo.
Kazi kwenu
Karibuni sana mtaani wakuu.

Lakini mtaweza kuzunguka Tanzania nzima ili kufikia lengo
Kwanza
Arusha
Mbeya
Moro
N.k
Wanatakiwa washike njia ya kuelekea kwao Congo. Hii Bongo haiwafai tena
 
Kumbuka sio raia wa tanzania hvyo awali ya yote wanapswa waombe kibali maalumu cha kazi husika. Ikumbukwe pia kibali chao cha kuishi nchini ama kufanya kazi bila shaka kitakuwa kimeishamalizika muda wake let alone kuwa nullified kwa kosa mahakama iliyowatia hatiani.
Asee wewe jamaa unaonekana una roho mbaya sana!
 
Back
Top Bottom