HahaaaaaaaKaribuni mtaani huku kuna MTU anaitwa Dr.Shika, mtafuteni hapo DSM awape ramani ya jiji
kumbe sio watz,ndo naskia leoKumbuka sio raia wa tanzania hvyo awali ya yote wanapswa waombe kibali maalumu cha kazi husika. Ikumbukwe pia kibali chao cha kuishi nchini ama kufanya kazi bila shaka kitakuwa kimeishamalizika muda wake let alone kuwa nullified kwa kosa mahakama iliyowatia hatiani.
Eeeeh ni wa Nchi gani ???kumbe sio watz,ndo naskia leo
Kumbuka sio raia wa tanzania hvyo awali ya yote wanapswa waombe kibali maalumu cha kazi husika. Ikumbukwe pia kibali chao cha kuishi nchini ama kufanya kazi bila shaka kitakuwa kimeishamalizika muda wake let alone kuwa nullified kwa kosa mahakama iliyowatia hatiani.
DRC kwa Joseph KabilaEeeeh ni wa Nchi gani ???
Babu Seya alishakuwa mtanzania zamani tu baada ya kuukana uraia wa Congo miaka kadhaa kabla hajapata msala. Orchestra Marquis Company "OMACO", kitu cha kwanza walichopigania ni kusaka uraia wa wanahisa wake katika kipindi kile cha mafanikio yao. Wakati ule wa akina Mwema Mudjanga, Mukumbure Lulembo " parash", Mbuya Makonga "Adios" Kasongo Mpinda, Chinyama Chiyaza "chichi' Mulenga Kalonji nk. Labda kama waliporwa haki yao hiyo. Vinginevyo Papii Kocha ni Mtanzania wa kuzaliwa na hasa kama alifanikiwa kuukana uraia wa mzazi/wazazi kama alikuwepo mmoja wao asiye mtanzania ili kutimiza matakwa ya kisheriaKumbuka sio raia wa tanzania hvyo awali ya yote wanapswa waombe kibali maalumu cha kazi husika. Ikumbukwe pia kibali chao cha kuishi nchini ama kufanya kazi bila shaka kitakuwa kimeishamalizika muda wake let alone kuwa nullified kwa kosa mahakama iliyowatia hatiani.
Wanatakiwa washike njia ya kuelekea kwao Congo. Hii Bongo haiwafai tenaNajua hamna vyombo tena na mambo mengine ya kuanzia life.
Kiingilio tupigeni 10000
Natarajia Wataingia watu zaidi ya 50000
Jumla mtapata zaidi ya 500,000,000/=
Ukitoa kodi na matumizi kama matangazo n.k yaweza kuwa 200,000,000/=
Ml. 300. Za Mtaji tutawapa kiivyo.
Kazi kwenu
Karibuni sana mtaani wakuu.
Lakini mtaweza kuzunguka Tanzania nzima ili kufikia lengo
Kwanza
Arusha
Mbeya
Moro
N.k
Itakuwa wewe ndyo victm wa kubakwahao wabakaji utaenda kwenye shoo yao
hao wabakaji utaenda kwenye shoo yao
hao wabakaji utaenda kwenye shoo yao
Asee wewe jamaa unaonekana una roho mbaya sana!Kumbuka sio raia wa tanzania hvyo awali ya yote wanapswa waombe kibali maalumu cha kazi husika. Ikumbukwe pia kibali chao cha kuishi nchini ama kufanya kazi bila shaka kitakuwa kimeishamalizika muda wake let alone kuwa nullified kwa kosa mahakama iliyowatia hatiani.