Kwako Boniface Mwabukusi, hongera kwa kushinda. Usisahau kauli zako za kishujaa

Kwako Boniface Mwabukusi, hongera kwa kushinda. Usisahau kauli zako za kishujaa

amadala

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2017
Posts
4,265
Reaction score
12,268
Hongera Kwa Nafasi ya kuongoza Tanganyika Law Society.

Ila nakukumbusha tu usisahau zile kauli zako za kishujaa, tunasubiri kuziona Kwa vitendo.

Nakukumbusha tu pitia na hii video vizuri ili usisahau👇
Hili jamaa ni TINGATINGA, haliogopi mtu! :Drake:
 
Back
Top Bottom