Hili jamaa ni TINGATINGA, haliogopi mtu!Hongera Kwa Nafasi ya kuongoza Tanganyika Law Society.
Ila nakukumbusha tu usisahau zile kauli zako za kishujaa, tunasubiri kuziona Kwa vitendo.
Nakukumbusha tu pitia na hii video vizuri ili usisahauš
Anasema ukweliHongera Kwa Nafasi ya kuongoza Tanganyika Law Society.
Ila nakukumbusha tu usisahau zile kauli zako za kishujaa, tunasubiri kuziona Kwa vitendo.
Nakukumbusha tu pitia na hii video vizuri ili usisahau.
View attachment 3060187
Soma=> News Alert: - Uchaguzi wa TLS 2024: Boniface Mwabukusi ashinda Urais, apata kura 1274
CCM wasipoliua hili jamaa, Samia ajiandaye kusahau kufunga ushungi siku mojaHili jamaa ni TINGATINGA, haliogopi mtu!
Tanzania ya sasa na dunia ya sasa inahitaji Sana Watu wenye misimamo ya namna hii.Huyu jamaa ni kama Lisu hajawahi kuyumba
TumuombeeTanzania ya sasa na dunia ya sasa inahitaji Sana Watu wenye misimamo ya namna hii.
Naunga mkono hoja Hakuna Ubishi Mwabukusi ni Mwanaharakati, Je TLS Yake Iwe ya Kiharakati, Au Asilete Harakati Zake kwenye TLS Yetu, Ibaki Kuwa Profesheno Body? na Tujikumbushe Kauli hii ya Rais Samia Atafanya Kazi na TLS ya Aina Gani? Hizi ni Salaam kwa Mwabu,. Swali ni is He A Bow Down Type or a Stand Firm?.Hongera Kwa Nafasi ya kuongoza Tanganyika Law Society.