Kwako Diamond Platnumz...

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
2,971
Reaction score
9,437
Sisi wananchi wa hali ya chini tulifarijika sana na maneno yako pale ulipotangaza kuwa, upo tayari kutusaidia japo kulipia pango la nyumba kwa miezi mitatu kwa wananchi wa hali ya chini 500.

Tunaona siku zinazidi kukatika na hatujapata mrejesho wowote kama msaada huo upo au laa.
 
Jiwe kashasema Corona imeisha, kwahiyo lipeni kodi wenyewe
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] chezea domokaya weyeeeee n muongo had shetan anajifunzia kwake.
 
Kwani ulikuwa unasubiria msaada wake pia mkuu, navyokumbuka alisema atatoa kwa watu ambao hawawezi kulipa kodi kwa njia yoyote ile mfano walemavu na wazee

Kingine katika mji wa zaidi ya watu million 5 ambao wengi ni maskini, huoni chance ya kupata ni ndogo mno mkuu
 
Ni kweli mkuu,nisipopata mimi watapata wengine ila mbona kakausha atoe mzigo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…