Kwako IGP: Watu wanauawa kwa kukosekana kituo cha Polisi Itumbi, wilayani Chunya

Kwako IGP: Watu wanauawa kwa kukosekana kituo cha Polisi Itumbi, wilayani Chunya

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949
IGP, ujumbe huu ukufikie Popote ulipo.

Ni aibu kwa Serikali ya CCM kukosekana kwa kituo cha Polisi Itumbi.

Watu wanauawa kama nzige na hakuna kuripotiwa popote.

Nchi hii imekuwa ngumu sana!
 
Mkuu ongeza nyama zaidi kuhusu hayo matukio maana viongozi wanapita sana JF kusoma.

Ningependa kujua ndani ya miezi mitatu watu wangapi wameuawa.
 
IGP, ujumbe huu ukufikie Popote ulipo.

Ni aibu kwa Serikali ya CCM kukosekana kwa kituo cha Polisi Itumbi.

Watu wanauawa kama nzige na hakuna kuripotiwa popote.

Nchi hii imekuwa ngumu sana!
Acha masikhara kama nzige?
Wameshakufa wangapi hata kwa tetesi ?
 
IGP, ujumbe huu ukufikie Popote ulipo.

Ni aibu kwa Serikali ya CCM kukosekana kwa kituo cha Polisi Itumbi.

Watu wanauawa kama nzige na hakuna kuripotiwa popote.

Nchi hii imekuwa ngumu sana!
Loh poleni sana

Tuwekee nyama zaidi umsaidie IGP kuelewa tatizo lilivyo
 
Back
Top Bottom