peno hasegawa JF-Expert Member Joined Feb 24, 2016 Posts 14,255 Reaction score 23,949 Sep 10, 2023 #1 IGP, ujumbe huu ukufikie Popote ulipo. Ni aibu kwa Serikali ya CCM kukosekana kwa kituo cha Polisi Itumbi. Watu wanauawa kama nzige na hakuna kuripotiwa popote. Nchi hii imekuwa ngumu sana!
IGP, ujumbe huu ukufikie Popote ulipo. Ni aibu kwa Serikali ya CCM kukosekana kwa kituo cha Polisi Itumbi. Watu wanauawa kama nzige na hakuna kuripotiwa popote. Nchi hii imekuwa ngumu sana!
Chachu Ombara JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 6,067 Reaction score 10,938 Sep 11, 2023 #2 Mkuu ongeza nyama zaidi kuhusu hayo matukio maana viongozi wanapita sana JF kusoma. Ningependa kujua ndani ya miezi mitatu watu wangapi wameuawa.
Mkuu ongeza nyama zaidi kuhusu hayo matukio maana viongozi wanapita sana JF kusoma. Ningependa kujua ndani ya miezi mitatu watu wangapi wameuawa.
B Bush Dokta JF-Expert Member Joined Apr 11, 2023 Posts 24,831 Reaction score 45,154 Sep 11, 2023 #3 CCM mbere kwa mbere
BIN NUN JF-Expert Member Joined May 23, 2014 Posts 3,477 Reaction score 7,085 Sep 11, 2023 #4 peno hasegawa said: IGP, ujumbe huu ukufikie Popote ulipo. Ni aibu kwa Serikali ya CCM kukosekana kwa kituo cha Polisi Itumbi. Watu wanauawa kama nzige na hakuna kuripotiwa popote. Nchi hii imekuwa ngumu sana! Click to expand... Acha masikhara kama nzige? Wameshakufa wangapi hata kwa tetesi ?
peno hasegawa said: IGP, ujumbe huu ukufikie Popote ulipo. Ni aibu kwa Serikali ya CCM kukosekana kwa kituo cha Polisi Itumbi. Watu wanauawa kama nzige na hakuna kuripotiwa popote. Nchi hii imekuwa ngumu sana! Click to expand... Acha masikhara kama nzige? Wameshakufa wangapi hata kwa tetesi ?
Msanii Platinum Member Joined Jul 4, 2007 Posts 25,252 Reaction score 36,513 Sep 11, 2023 #5 peno hasegawa said: IGP, ujumbe huu ukufikie Popote ulipo. Ni aibu kwa Serikali ya CCM kukosekana kwa kituo cha Polisi Itumbi. Watu wanauawa kama nzige na hakuna kuripotiwa popote. Nchi hii imekuwa ngumu sana! Click to expand... Loh poleni sana Tuwekee nyama zaidi umsaidie IGP kuelewa tatizo lilivyo
peno hasegawa said: IGP, ujumbe huu ukufikie Popote ulipo. Ni aibu kwa Serikali ya CCM kukosekana kwa kituo cha Polisi Itumbi. Watu wanauawa kama nzige na hakuna kuripotiwa popote. Nchi hii imekuwa ngumu sana! Click to expand... Loh poleni sana Tuwekee nyama zaidi umsaidie IGP kuelewa tatizo lilivyo