Kwako JK (Shairi)


mimi huwa napiga kura...nalipa kodi...
it is enough kwa kuchangia mabadiliko,sio?
 
mimi huwa napiga kura...nalipa kodi...
it is enough kwa kuchangia mabadiliko,sio?

The Boss sikia, hii issue ni muhimu,
Kodi unayoilipia, wenzako wanatudhulumu,
Kodi inatokea kwenye bia,mwisho itatokea kwenye ndumu,
Hii nchi bana, yaani we acha tu.

Hivi ni kwanini, kiuchumi tuteseke,
Yaani mpaka lini, maishani tusote,
Mbona hatuwini, Nchi yetu sote,
Hii nchi yaani, kweli acha tu.

Madini tumejaaliwa, Mito mpaka Bahari
Ongeza na Maziwa, Mbuga nazo ni Mali,
Siasa tunaimbiwa, Ufisadi umekua ufahari,
Hii nchi kwa kweli, mbona vingi vioja??
 

Ambae hamkunichagua
Leo mnanililia kuwasaidia?
Na bado mtakoma
Mnajifanya mna AMANi saana!
Sasa mi nawapiga danadana
Wabongo bwana,waoga kama giza mchana
Mnachojua kuongea kama wangoni songea
Ikulu lulu unapiga kisha unajongea
Hili trela picha lowassa mnaemfagilia
Mtalia nguruwe Msikitini akiingia:eyebrows:


 

Mtaani kugumu kivipi?
Hata pipi huwa ngumu kabla ya kumung'unya
mwalim r.i.p tuliobaki makapi
mna vipaji vya kuomba km matonya
hamfikii maendeleo kwa fikra fupi
ukiwa na ndizi kwanza menya
yaani buni acha kukopi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…