Kwako kipimo cha mke bora ni kipi?

Nataka shangazi wa kumuaki shikamoo bi mkubwa. Awe na hela za kutosha niitwe Marioo. .
Huwezi haya mambo mkuu. Utaikimbia familia yako, alaf lawama zirudi kwangu πŸ˜…πŸ˜…
 
Huwezi haya mambo mkuu. Utaikimbia familia yako, alaf lawama zirudi kwangu πŸ˜…πŸ˜…
Nikajua niko na askari mgambo utanifundisha mbinu za maangamizi. Nataka shangazi wa kunijengea kajumba. .
 
Binadamu Mtakatifu Johnnie Walker sioni mkioa kabisaπŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…