Kwako Mdada Mzuri: Ukinifurahisha Nakuhonga

Boss la DP World

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
2,318
Reaction score
8,464
Sikuhizi sina maneno mengi, mdada anayenifurahisha namhonga. Bei hutofautiana kutegemeana na sampuli.

Ma great thinker wasio na hela mje hapa kutoa povu, ila mkae mkijua kama hamwahongi wapenzi wenu hata laki moja kwa mwezi mnawafanya waishi maisha magumu sana hata kama wana vyanzo vya mapato.

Mwanaume ni provider, mhonge mpenzi wako uheshimiwe.

We unasubirije hadi akuombe? Inatakiwa kila ukimkumbuka unamshtua na muamala, wanawake ni maua bwana, tuyatunze.
 
kuna wanaume watazuga hawajauona uzi. Aloo tutawaletea screenshot 😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…