Nakumbuka mwaka 1990 nilikuwa Kigali kusaka maisha.mambo haya ya kupotea watu yalikuwa yanatokea mara Kwa mara na ilisemekana yalikuwa yanafadhiliwa na serikali,watu walipochoka ndiyo mauaji ya kimbali ya Rwanda yakatokea mwaka 1994.Kipindi hicho watu wakawa wanawafata viongozi walikuwa wanasemekana kufadhili watekaji na kumalizana nao hapohapo