Kwako Moderator

FirstLady1

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2009
Posts
16,789
Reaction score
5,401
Ombi maalum kwako mheshimiwa Moderator weka option ya kuweka jinsia kwenye profile
mambo ya kuulizana wewe ni serengeti boys -Or twiga stars inaleta balaa
Me/Ke
Male/Female

ni mtizamo tu
Chrispin ,masanilo ,Nguli ,kina Geoff ,na wengine hawatakumbana na maswali mengi...
 
Naomba unikumbushe jinsia yako ....LoL
 
Saa nyingine mshosti unaachiaga mapwenti yenye akili. Big up mama watoto.
 
You must be Geneous!
 
Shemeji wewe kichwa nakukubali sana
 
Ngoja niPM Chrispin!

UsiniPM mchungaji. Nimeshaiona hiyo. Hakika Masiya yu mbioni kurudi. Kama tiketi ameshakata kabisa. Manake kashanifanya mimi basha siyo?
 
UsiniPM mchungaji. Nimeshaiona hiyo. Hakika Masiya yu mbioni kurudi. Kama tiketi ameshakata kabisa. Manake kashanifanya mimi basha siyo?

Ndo wasi wasi uliponijaa....kuna aunt noniiiii!
 
mimi ni mvulana niko kidato cha tatu napenda kutumia computer

Xspin tunakutenga na umoja wetu, umeanza kula wenzio? Boko wala wenzio nawe utaliwa Boko...kuna bendi imeimba huu wimbo sijui inaitwaje?
 
Chrispin Muda si mrefu tunamtenga na kumfungia sacramento....kama ni mzee wa kisamvu cha kopo....!
 
Xspin tunakutenga na umoja wetu, umeanza kula wenzio? Boko wala wenzio nawe utaliwa Boko...kuna bendi imeimba huu wimbo sijui inaitwaje?

Hao nadhani ni njenje. Mamsap anajidhalilisha bana. Si unajua mambo ya tiGo?
 
Chrispin Muda si mrefu tunamtenga na kumfungia sacramento....kama ni mzee wa kisamvu cha kopo....!

Mchungaji naomba, ukiona vema uniruhusu niingie malangoni pako.
 
We kiboko: Kijana uliye kidato cha tatu uliye pia mamantilie mitaa ya migomigo. Lol!

naona unapenda nikupe profile yangu ya ukweli -female African Black very black women age-- count 0ne -to 42

1.status- doubel
2. children - 2 .boy and gal
3. Business women- magomeni migomigo
4. part time - studying english cource and secondary education
5. Hobbies ---dacing ,singing ,cooking ,eating , kobe Bryant,sijui nyingine
2. Dislike .... sleeping ,gossiping and so and so

Nisahihishe bwana mie sijui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…