Kwako mpenzi . . . .

Kabarua haka kamenikumbusha mbali sana, endelea kukahifadhi kaendelee kutukumbusha tulikotoka.
 
haha, niandikie basi na mimi kabarua kama hako

Dia Miss Judy

mi nakupenda sana Judy, si unakumbuka tulivyocheza kombolela. Si ulikuwa unasikia raha?? Kule ktk michongoma anakujaga John andunje, atatuonea donge njoo kwetu basi, unajifanya unakuja kwa best wako Jeni. Halafu jeni ataitwa na mama, si tunaingia bafuni. Sema basi, shosti hajui kupigana hakufanyi kitu

kama hunitaki sema, ni ntacheza kimama-mama na afrodenzi, Rose na wenzake.
Ni mimi mdokozi
Jaba
 
mi nataka kalikoandikwa kwa mkono kama hako ulikotubandikia, sio haka ulikoandika kwa keyboard! please niandikie sweet
 
mi nataka kalikoandikwa kwa mkono kama hako ulikotubandikia, sio haka ulikoandika kwa keyboard! please niandikie sweet

Daah! Nimekosa mtu wa kuniita SWEET humu ndani, wewe ndo wa kwanza. Ngoja nikuandikie kweli . . . maana umenipa hamasa tayari
 
Daah! Nimekosa mtu wa kuniita SWEET humu ndani, wewe ndo wa kwanza. Ngoja nikuandikie kweli . . . maana umenipa hamasa tayari
Jaba-li kuitwa sweet tu unahamasika,je ukibusiwa itakuwaje?
 
Daah! Nimekosa mtu wa kuniita SWEET humu ndani, wewe ndo wa kwanza. Ngoja nikuandikie kweli . . . maana umenipa hamasa tayari

eee, fanya chapchap basi manake mwenzio sijawahi kuandikiwa kama hako, si unajua tena enzi zetu hizi?
 
Halafu kabarua kanafungwa kwenye leso huku kamewekwa manukato ya wizi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…