Azimio la kazi
Senior Member
- Jun 7, 2023
- 138
- 452
Habari Wana bodi.
Niende kwenye mada moja Kwa Moja kumekuwa na matusi na kejeli za hapa na pale zikiendeshwa na mpwayungu village.
Sasa nimekuja rasmi kupambana na huyu mtu ambae anachuki za wazi dhidi ya walimu.
🌹Ewe mpwayungu village tambua kuwa
Sisi walimu tunamaisha Bora na Wala hatuna njaa.
Sisi walimu mioyo yetu imejaa utu wa kujenga taifa hili katika Kila Hali.
Sisi walimu kazi yetu ni wito hivyo kama huna wito usije.
Sisi walimu tunapenda taifa letu na Wala hatuna shida na mishara mnayosema.