Azimio la kazi
Senior Member
- Jun 7, 2023
- 138
- 452
SUbiri aje.Habari Wana bodi.
Niende kwenye mada moja Kwa Moja kumekuwa na matusi na kejeli za hapa na pale zikiendeshwa na mpwayungu village.
Sasa nimekuja rasmi kupambana na huyu mtu ambae anachuki za wazi dhidi ya walimu.
🌹Ewe mpwayungu village tambua kuwa
Sisi walimu tunamaisha Bora na Wala hatuna njaa.
Sisi walimu mioyo yetu imejaa utu wa kujenga taifa hili katika Kila Hali.
Sisi walimu kazi yetu ni wito hivyo kama huna wito usije.
Sisi walimu tunapenda taifa letu na Wala hatuna shida na mishara mnayosema.
Habari Wana bodi.

Sisi walimu tunapenda taifa letu na Wala hatuna shida na mishara mnayose
Naomba nicomment kwanza ndo nirudi kusoma,walimu acheni woga wa ovyo oneni mwenzenu kafungua account mpya ili amseme MpwayunguHabari Wana bodi.
Niende kwenye mada moja Kwa Moja kumekuwa na matusi na kejeli za hapa na pale zikiendeshwa na mpwayungu village.
Sasa nimekuja rasmi kupambana na huyu mtu ambae anachuki za wazi dhidi ya walimu.
🌹Ewe mpwayungu village tambua kuwa
Sisi walimu tunamaisha Bora na Wala hatuna njaa.
Sisi walimu mioyo yetu imejaa utu wa kujenga taifa hili katika Kila Hali.
Sisi walimu kazi yetu ni wito hivyo kama huna wito usije.
Sisi walimu tunapenda taifa letu na Wala hatuna shida na mishara mnayosema.
Nipo apa Kwa sele bonge Facebook take away mda huu Morocco nakula urojo waambie waje naondoka saa Tatu kamili, matahila hayo nayaona mapunda tuHaha ila walimu kweli ni mafala tu, huyu jamaa anayewatukana Kila siku anajinadi yupo bar za manzese, mnashindwa Nini kumlia timing hapo manzese mmpe kipigo cha mbwa Koko awe na adabu