Umekosea sana aisee.Kwanza nikupe hongera na kongole kwa kupandishwa cheo cha plutnum member,
Kingine nilikuwa nakuuliza hivi kwenye kazi yako ya ulozi hivi kipindi kama hichi cha mvua kila sehemu/mkoa mkiwa huko angani na gari lenu (ungo) hivi mvua ikinyesha mnabaki hivyo hivyo uchi au hua mnavaa makoti(jackets)kujifunika
Ni hilo nimewasilisha.[emoji144][emoji144]