Kwako muigizaji paschalina

Desire Dizaya

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2015
Posts
6,476
Reaction score
11,659
Sina uhakika kama ndo lilikua jina lako lakini nina uhakika ni hilo sijakosea.

Pascalina nimependezwa mno na juhudi zako kama mwanamke kujiinua kiuchumi kuliko wanaokaa wanasubiri kuolewa wahudumiwe.. Wenye attitude kama yako tupo wachache. Hongera

Kusema ukweli nlikua simfahamu kabisa huyu dada mpaka hivi juzi nkiwa sebuleni na dada wa kazi wa jirani yeye ukiwasha ni bongo muvi tu nkampisha
Katika kuangalia muvi ikaisha si kikafuatia kipindi cha komedi kinaitwa kitimtim.
Kwakweli umenifikirisha mno kwa unachoigiza.. Unawacopycat walemavu wa kusikia(viziwi)

Je wewe ni kiziwi kweli au unaigiza tu? Ukiziwi ni kilema.. Ni tatizo!
Unatumia matatizo ya wengine kuchekesha hadhira?
Ni nani anaependa kuwa na matatizo?
Wale wenye matatizo wakiona hali zao zinatumika kuwa kituko cha kuchekeshea unadhani wanajisikiaje?
Yani ni bora ungekua unaigiza movie au tamthilia kama kiziwi kuelimisha Jamii lakini si vichekesho..hata kama ungekua kiziwi kabisa haingependeza wewe kufanyia vichekesho...hata ungetumia upofu au ububu still the same
Disabled and special people needs our support and comfort.. Not to make them a laughing stock amongst us!!

Kama huna idea kaa chini umiza akili yako utaipata tu..
Hata maandiko yanasema amdhihakiye mwenye matatizo humsuta muumba wake!
Ni maoni tu
Ukipenda badili ukipenda endelea ila kila mtu atavuna kwa kadri ya matendo yake!
 
ndiyo maana yakaitwa "maigizo"
kwahiyo unataka kusema wale wanaocheza uhusika wa "mume" na "mke" wasicheze kwa vile hawajaolewa?? Au unataka kusema wale wanaocheza uhusika wa "mazombie" wasicheze kwa vile siyo mazombie??

Kila mtu anajitahidi kukifanya kile ambacho anakiona kipo right, na kitu kingine mpaka hicho kipindi kimerushwa na kuwa hewani, ni kwamba kimekidhi vigezo na masharti.

ni hayo tuu mnaweza nirekebisha
 
Hawajakosea.na pia nimeeleza mtazamo binafsi na sijacpclude sababu kuna wengine wataopingana nami kama wewe
Nkjibh hapa
Wanaocheza uhusika wa mume na mke wale ndoani wabajiskiaje
Wanaocheza uhusika wa mazombie ilhali wao sio mazombie..hao mazimbie wanajiskiaje?
Na wanaocheza komedy za kilemavu ilhali wao sio..wale walemavu wanajiskiaje..
 
Hmm, haya mawazo mengine bhana, hivi unaelewa maana ya maigizo au vichekesho? Acha kuwa na mawazo mgando...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…