Kwako mume wa huyu dada mwenye VOLKSWAGEN POLO

Umesikiliza upande mmoja wa stori.
Umewahi kuona wapi mwanamke mzuri, mtiifu, muewlwa akaachwa?

Hujui kuwa wanawaje warembo wanaongiza kwa nyodo?

Hujui kuwa hujui waachie wao
 
Nakuja fasta huko Ukonga
 
Na hapo ndo unakuwa mwanzo wa huyo mke kuwa na jeuri ,kiburi, na dharau kwenye ndoa yake
mwisho anaanza kuchepuka na yeye.

Hlf badae mwanaume ataanza kulialia mke wangu amebadilika
 
Umesikiliza upande mmoja wa stori.
Umewahi kuona wapi mwanamke mzuri, mtiifu, muewlwa akaachwa?

Hujui kuwa wanawaje warembo wanaongiza kwa nyodo?

Hujui kuwa hujui waachie wao
Sawa mkuu.
 
Na hapo ndo unakuwa mwanzo wa huyo mke kuwa na jeuri ,kiburi, na dharau kwenye ndoa yake
mwisho anaanza kuchepuka na yeye.

Hlf badae mwanaume ataanza kulialia mke wangu amebadilika
Kweli kabisa mkuu. Kwa namna huyu dada anavyoongea, nina uhakika hawezi kuwa the same hata kama ndoa yao itaendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…