Mwanamke ni mzuri kama hujaingia nae kwenye mahusianoNimeshaleta mrejesho kulekule, mambo ni bambam [emoji28]
Naishi Dodoma ila kwa sasa nipo Dar Ukonga KMKM ambapo nimejenga makazi yangu ya kupangisha. Kama mna kumbukumbu nzuri nilileta uzi humu majuzi nikiomba ushauri wa namna ya kudeal na mpangaji wangu mmoja mjeda aliyetaka kunidhulumu kodi na wadau mkanipa ushauri murua kabisa na j3 naenda kulipwa pesa yangu.
Nikiwa naingia KMKM recreation centre kwa miguu, getini ikanipita gari aina ya Volkswagen polo kwa kasi ikiendeshwa na binti mmoja mlimbwende. Nilivyofika ndani nikamkuta bidada analia kwa uchungu, wahudumu na wateja wengine wakawa wanamshangaa! Akaagiza chupa ya wine. Nikawa namu-observe kwa takribani nusu saa. Baadaye nikamuita dada aliyemuhudumia na kukwambia nitalipia ile chupa ya wine. Mhudumu akaenda kukwambia ila dada hakujibu chochote.
Akaonekana amenipuuza na kuendelea kunywa ile wine kwa kasi. Baada ya dk 20 hivi, nikiwa nimeinamia simu yangu yule dada akahamia mezani kwangu! Tukasalimiana, akaomba kukaa nikamruhusu, kabla hajaanza kujieleza nikamwambia asubiri, nikamsihi aendelee kulia ili uchungu umtoke moyoni.
Aliyonieleza baada ya kumaliza kulia yanaogopesha. Anadai mume wake amebadilika sana, anatembea na binti mmoja wa saluni ambayo iko jirani na nyumbani kwao. Jamaa ameaga anaenda safari ya kikazi, baada ya mwanaume kupaki begi la safari, mkewe (ambaye ndio huyu dada) akakuta pair ya viatu vya kike na iphone full boxed, mkewe alikuwa anamuwekea mumewe makoti ya baridi kwasababu jamaa aliaga anaenda Arusha, wakati mkewe anaweka hayo Makoti jamaa alikuwa ametoka.
Jamaa alivyorudi mke akanyamaza. Jamaa akaondoka leo asubuhi mkewe anamuangalia tu. Sasa mchana huu huyu dada akiwa na mawazo saluni akakutana na shosti yake, shosti mtu bila kujua, akamwambia huyu dada kwamba kakutana na mume wa huyu dada Mlimani City akajaribu kumsalimia lakini shemeji mtu hakumuona wala kumsikia. Mke mtu akatoka nje ya saluni akampigia mumewe akajifanya yeye ndio kamuona, mwanaume akaanza kujikanyaga! Akazima na simu (inaelekea anajipanga kudanganya zaidi).
Kumbe baadhi ya wanawake wa pale saluni wanajua jamaa anatoka na hako kabinti ka saluni na kabinti hakakuwepo leo!!! Wafanyakazi wenzake pale saluni wakasema walikuwa wanashindwa kumwambia wakihofia kuonekana wafitini! Mke kaunganisha dots kagundua kwamba ndio maana jamaa alikuwa na pair ya viatu na simu mpya!!!
Mkuu, umeharibu huku. Kama upo JF kakiri tu kwa mkeo wala usiendelee kudanganya.
Dada kalewa sana hapa, ingekuwa enzi zangu kabla sijaokoka leo pangechimbika.
Kanipa funguo za gari na handbag yake. Sijui anapoishi ila anasema akilewa sana nimtafute bodaboda anaitwa ......hapa nje ya KMKM atanielekeza kwake.
Sisi wanaume sijui tumerogwa na nani. Mwanamke mzuri hivi, msomi, mchapakazi, halafu anasalitiwa kindezi hivi [emoji22]
NGOJA iendelee kunyesha tuone panapovuja ..
I know this mkuu.Mwanamke ni mzuri kama hujaingia nae kwenye mahusiano
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mkuu, mimi mwenyewe born town. Niko makini kuliko unavyodhani. Nimeshafanya due deligence ya kutosha na nimejiridhisha kwamba huyu sio tapeli.Dunia ngumu, inawezekana hapo unapangwa, achaneni na wanawake mtakuja kupata shida nyingi sana duniani.
Inawezekana :
1. Ni malaya anakupanga, pamoja na Polo yake, usije kusema hukuambiwa, utakuja ujute. .
2. Unatengenezewa fumanizi na funguo za watu za gari unajiona mjanja.
3. Inawezekana unatengenezewa mazingira ya kuibiwa, utakuja jua mwishoni.
Mimi Bwana, mwanamke wa mtu, hapana kabisa msikiliza au kukaa naye Bar, unaweza kutwa yeye ndo kafumaniwa ana stress za kufumaniwa.....
Mnasikiaga sasa Vijana?????
Mkuu naomba usimkabidhi huyo sister kwa boda boda au muongozane na huyo boda, uhakikishe anafika kaingia kwake.Naishi Dodoma ila kwa sasa nipo Dar Ukonga KMKM ambapo nimejenga makazi yangu ya kupangisha. Kama mna kumbukumbu nzuri nilileta uzi humu majuzi nikiomba ushauri wa namna ya kudeal na mpangaji wangu mmoja mjeda aliyetaka kunidhulumu kodi na wadau mkanipa ushauri murua kabisa na j3 naenda kulipwa pesa yangu.
Nikiwa naingia KMKM recreation centre kwa miguu, getini ikanipita gari aina ya Volkswagen polo kwa kasi ikiendeshwa na binti mmoja mlimbwende. Nilivyofika ndani nikamkuta bidada analia kwa uchungu, wahudumu na wateja wengine wakawa wanamshangaa! Akaagiza chupa ya wine. Nikawa namu-observe kwa takribani nusu saa. Baadaye nikamuita dada aliyemuhudumia na kukwambia nitalipia ile chupa ya wine. Mhudumu akaenda kukwambia ila dada hakujibu chochote.
Akaonekana amenipuuza na kuendelea kunywa ile wine kwa kasi. Baada ya dk 20 hivi, nikiwa nimeinamia simu yangu yule dada akahamia mezani kwangu! Tukasalimiana, akaomba kukaa nikamruhusu, kabla hajaanza kujieleza nikamwambia asubiri, nikamsihi aendelee kulia ili uchungu umtoke moyoni.
Aliyonieleza baada ya kumaliza kulia yanaogopesha. Anadai mume wake amebadilika sana, anatembea na binti mmoja wa saluni ambayo iko jirani na nyumbani kwao. Jamaa ameaga anaenda safari ya kikazi, baada ya mwanaume kupaki begi la safari, mkewe (ambaye ndio huyu dada) akakuta pair ya viatu vya kike na iphone full boxed, mkewe alikuwa anamuwekea mumewe makoti ya baridi kwasababu jamaa aliaga anaenda Arusha, wakati mkewe anaweka hayo Makoti jamaa alikuwa ametoka.
Jamaa alivyorudi mke akanyamaza. Jamaa akaondoka leo asubuhi mkewe anamuangalia tu. Sasa mchana huu huyu dada akiwa na mawazo saluni akakutana na shosti yake, shosti mtu bila kujua, akamwambia huyu dada kwamba kakutana na mume wa huyu dada Mlimani City akajaribu kumsalimia lakini shemeji mtu hakumuona wala kumsikia. Mke mtu akatoka nje ya saluni akampigia mumewe akajifanya yeye ndio kamuona, mwanaume akaanza kujikanyaga! Akazima na simu (inaelekea anajipanga kudanganya zaidi).
Kumbe baadhi ya wanawake wa pale saluni wanajua jamaa anatoka na hako kabinti ka saluni na kabinti hakakuwepo leo!!! Wafanyakazi wenzake pale saluni wakasema walikuwa wanashindwa kumwambia wakihofia kuonekana wafitini! Mke kaunganisha dots kagundua kwamba ndio maana jamaa alikuwa na pair ya viatu na simu mpya!!!
Mkuu, umeharibu huku. Kama upo JF kakiri tu kwa mkeo wala usiendelee kudanganya.
Dada kalewa sana hapa, ingekuwa enzi zangu kabla sijaokoka leo pangechimbika.
Kanipa funguo za gari na handbag yake. Sijui anapoishi ila anasema akilewa sana nimtafute bodaboda anaitwa ......hapa nje ya KMKM atanielekeza kwake.
Sisi wanaume sijui tumerogwa na nani. Mwanamke mzuri hivi, msomi, mchapakazi, halafu anasalitiwa kindezi hivi [emoji22]
NGOJA iendelee kunyesha tuone panapovuja ..
This is the point!Tatizo sio kucheqt tatizo anacheat kizembe mpak anajulikana
Hata mimi nimewaza kama ulivyowaza wewe mkuu. Nitahakikisha anafika nyumbani salama.Mkuu naomba usimkabidhi huyo sister kwa boda boda au muongozane na huyo boda, uhakikishe anafika kaingia kwake.
Turudi kwenye mada, ndoa zina mambo sana, yeye pair tu ya viatu na iphone analiiia, watu wana watoto na familia nje ya familia walizooa, mpe pole sana mwambie apige moyo konde maisha hayajawahi kusimama.
Wanaume tunapungua taraaaatibu Tanzania. Hasa dar. Dar siku Hadi siku inaenda kuwa sawa na nchi za ulaya. Tunabaki wachache sana.Naona wanaune tuneanza kukosa vifua
Ishi na hiyo siri.[emoji28][emoji28] kumbe wadau wana wana roho mbaya namna hi..
Umelipwa kodi mkuu?Naishi Dodoma ila kwa sasa nipo Dar Ukonga KMKM ambapo nimejenga makazi yangu ya kupangisha. Kama mna kumbukumbu nzuri nilileta uzi humu majuzi nikiomba ushauri wa namna ya kudeal na mpangaji wangu mmoja mjeda aliyetaka kunidhulumu kodi na wadau mkanipa ushauri murua kabisa na j3 naenda kulipwa pesa yangu.
Nikiwa naingia KMKM recreation centre kwa miguu, getini ikanipita gari aina ya Volkswagen polo kwa kasi ikiendeshwa na binti mmoja mlimbwende. Nilivyofika ndani nikamkuta bidada analia kwa uchungu, wahudumu na wateja wengine wakawa wanamshangaa! Akaagiza chupa ya wine. Nikawa namu-observe kwa takribani nusu saa. Baadaye nikamuita dada aliyemuhudumia na kukwambia nitalipia ile chupa ya wine. Mhudumu akaenda kukwambia ila dada hakujibu chochote.
Akaonekana amenipuuza na kuendelea kunywa ile wine kwa kasi. Baada ya dk 20 hivi, nikiwa nimeinamia simu yangu yule dada akahamia mezani kwangu! Tukasalimiana, akaomba kukaa nikamruhusu, kabla hajaanza kujieleza nikamwambia asubiri, nikamsihi aendelee kulia ili uchungu umtoke moyoni.
Aliyonieleza baada ya kumaliza kulia yanaogopesha. Anadai mume wake amebadilika sana, anatembea na binti mmoja wa saluni ambayo iko jirani na nyumbani kwao. Jamaa ameaga anaenda safari ya kikazi, baada ya mwanaume kupaki begi la safari, mkewe (ambaye ndio huyu dada) akakuta pair ya viatu vya kike na iphone full boxed, mkewe alikuwa anamuwekea mumewe makoti ya baridi kwasababu jamaa aliaga anaenda Arusha, wakati mkewe anaweka hayo Makoti jamaa alikuwa ametoka.
Jamaa alivyorudi mke akanyamaza. Jamaa akaondoka leo asubuhi mkewe anamuangalia tu. Sasa mchana huu huyu dada akiwa na mawazo saluni akakutana na shosti yake, shosti mtu bila kujua, akamwambia huyu dada kwamba kakutana na mume wa huyu dada Mlimani City akajaribu kumsalimia lakini shemeji mtu hakumuona wala kumsikia. Mke mtu akatoka nje ya saluni akampigia mumewe akajifanya yeye ndio kamuona, mwanaume akaanza kujikanyaga! Akazima na simu (inaelekea anajipanga kudanganya zaidi).
Kumbe baadhi ya wanawake wa pale saluni wanajua jamaa anatoka na hako kabinti ka saluni na kabinti hakakuwepo leo!!! Wafanyakazi wenzake pale saluni wakasema walikuwa wanashindwa kumwambia wakihofia kuonekana wafitini! Mke kaunganisha dots kagundua kwamba ndio maana jamaa alikuwa na pair ya viatu na simu mpya!!!
Mkuu, umeharibu huku. Kama upo JF kakiri tu kwa mkeo wala usiendelee kudanganya.
Dada kalewa sana hapa, ingekuwa enzi zangu kabla sijaokoka leo pangechimbika.
Kanipa funguo za gari na handbag yake. Sijui anapoishi ila anasema akilewa sana nimtafute bodaboda anaitwa ......hapa nje ya KMKM atanielekeza kwake.
Sisi wanaume sijui tumerogwa na nani. Mwanamke mzuri hivi, msomi, mchapakazi, halafu anasalitiwa kindezi namna hii [emoji22]
NGOJA iendelee kunyesha tuone panapovuja ..
Mkuu, mimi mwenyewe born town. Niko makini kuliko unavyodhani. Nimeshafanya due deligence ya kutosha na nimejiridhisha kwamba huyu sio tapeli.
Njoo inbox,nipe namba zake nimpe ushauri.Ndio taaluma yangu.Naishi Dodoma ila kwa sasa nipo Dar Ukonga KMKM ambapo nimejenga makazi yangu ya kupangisha. Kama mna kumbukumbu nzuri nilileta uzi humu majuzi nikiomba ushauri wa namna ya kudeal na mpangaji wangu mmoja mjeda aliyetaka kunidhulumu kodi na wadau mkanipa ushauri murua kabisa na j3 naenda kulipwa pesa yangu.