Kwako Naseeb Abdul

fdizzle

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
1,902
Reaction score
2,396
Natumai uko salama na naamini utakuwa unapitia pande hizi.
Naomba nikushauri kitu Naseeb Abdul, ni ukweli usiopingika kuwa wewe ni celebrity mkubwa sana hapa bongo na naomba nikiri wazi kuwa mimi ni shabiki wako na nafuatilia sana kazi zako.

Nikuambie tu kitu kuwa kwa sasa unajipoteza kwenye game mwenyewe kwa haya unayoyafanya hayaendani na status yako hata kama ni ujana na damu kuchemka ila sio kiivyo, ulipaswa kuishi maisha ya ki celebrity kwa kila unachofanya angalia impact yake itakuaje sio tu umeona mbunye wewe akili yote inakupotea, unapaswa kujifunza maisha ya kama Jay Z.

Naamini na nakuhakikishia huwezi kupata mwanamke kama Zarina Hassan.huyu mwanamke pamoja na kupenda matumizi ya kifahari ila pia anajua kuzitumia fursa vizuri za kutengeneza pesa(rejea zari white party na ishu ya kuzaliwa Tiffah mpaka akapata na matangazo yaliyomiungizia pesa yake amabyo sisi wengine tunaishia kuona namba tu ila noti hatujui hata muonekane wa hilo bururngutu la pesa upo vipi).

Mbele ya umati ulituaminisha ni vichupi kunuka nyuma ya scene unalala nao kitandani tena unapitiwa na usingizi mzito kiasi kwamba unapigwa picha wewe mwnyewe hata hujijui.

Umepata mwanamke anejua kutumia na kutafuta pesa halafu unaleta utandale wako,wale wote waanokutakia mabaya leo hii wanafurahi meno yote nje.

Nakushauri tu ukapige magoti kwa Zari uwe nae hao wengine watakupotezea muda na pesa zako na kuhusu mtoto kwa kuwa ni wako itakubidi ulee tu hakuna namna.

Naamini kama Ivan angekuwa hai siku unayotangaza mtoto wa Mobeto ni wako basi siku hiyo hiyo ungepewa jibu kuwa Tiffah na kaka yake sio wako .

Badilika kijana
 
Pale wabongo mnapojifanya kumjua zari kuliko diamond aliyefanya ajulikane.
Anajua kuzitafta kwa picha anazopost au?
 
Kuna fununu celebrities wa bongo(musics & movie fashion) ambao wapo jf ni 3.
Sijui huyu ndugu yetu yupo?
 
Ila wabongo mkiamua kumpamba mtu mnaweza, hawezi kupata mwanamke mwenye akili kama zari? Itakua haupo serious!!

Muacheni Chibu na mahusiano yake, yeye anamjua zari kuliko sisi tunaomuona kwenye mitandao.
 
Kama hukuwepo wakati anazitafuta,usimpangie wakati wa matumizi.umalaya ukishakua damuni ngumu sana kubadilika.
 
Pale wabongo mnapojifanya kumjua zari kuliko diamond aliyefanya ajulikane.
Anajua kuzitafta kwa picha anazopost au?
Unaelewa maana ya kutumia fursa au unajibu tu ili mradi?
 
Ila wabongo mkiamua kumpamba mtu mnaweza, hawezi kupata mwanamke mwenye akili kama zari? Itakua haupo serious!!

Muacheni Chibu na mahusiano yake, yeye anamjua zari kuliko sisi tunaomuona kwenye mitandao.
Nipo serious mkuu dai hawezi kupata mwanamke anaejua kutumia fursa kama zari huo ndio ukweli
 
Giza tupu
 
Kubalance Zari aongeze mtoto na linjemba wasameheane walee watoto wote 7
 
Siri ya mtungi aijuaye kata na ukitaka kujua kunguni wa kutanda kilalie.
 
wacha aendelee kuhangaika na videm vya kibongo ambavyo havina hata michongo vimekalia kuchuna tu ili wamchune mpaka akome! dogo hana hata mtazamo chanya yaan anahis maisha hayawezi badilika kwamba ataendelea kula gud tym milele....amuulize mr nice mwenzie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…