Babu hiyo penshen vipi sasa?Kama usemayo ni kweli basi nizalie mtoto ili niamini
Babu hiyo penshen vipi sasa?
Freaky grandma😉🙂Go 'round and make ya hits buoy...
and Heey let Loourd out of this...
Huyu babu na vizazi vya watu sijui anataka afungue sakos!Valley babu anataka nimpe pa kizazi. ....
Babu unasema?Huyo hayuko kwenye orodha ya wanufaika... mtoto kharam huyo. Alikuja na mama yake, hamjui baba yake.
Nimesema njoo unizalie mtoto...Babu unasema?
Unataka ufungue tim au NGO ya watoto we babu?Nimesema njoo unizalie mtoto...
Tumeamriwa tuzae kwa wingi tuijaze duniaUnataka ufungue tim au NGO ya watoto we babu?
Hii ya kwako imezidi sasa. Bibi yetu mbona kazi anayo!Tumeamriwa tuzae kwa wingi tuijaze dunia
Yule kashamaliza kazi yake.... kazi imebaki kwenuHii ya kwako imezidi sasa. Bibi yetu mbona kazi anayo!
Babu unatubemenda weweYule kashamaliza kazi yake.... kazi imebaki kwenu
Hapana... nawatendeeni hakiBabu unatubemenda wewe
Hahahahaaaaa......! Ugomvi huo...Anakuja, ngoja tumalize kuogeshana[emoji126]
Walaa!Hahahahaaaaa......! Ugomvi huo...