Kwako Nyani Ngabu, how deep

Goofy gal!

But why are you so goofy?

Where do you get that from? Yo' mama?
 
Goofy gal!

But why are you so goofy?

Where do you get that from? Yo' mama?

Hahahahahaaaa I knew you will come here...........

Check with your hommie he has no harm......... worry out hahaa πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
 
Kasinde na Nyani Ngabu tuwafungishe ndoa tu sasa

mmmmmmhhhhhhhhhhh refer: ..............................
afrodenzi said: ↑

NN uko wapi ??

Valentina ......Anakuja, ngoja tumalize kuogeshana

and:.....................
SHERRIF ARPAIO said: ↑

NN naona rizki imekuangukia hiyo

Nyani Ngabu ....Ah wapi...hawa watu wanapenda tu kunitania kama babu yao.

I'm a senior citizen, you know.

After all am not a wife material ................

Kasie ni yule yule wa JUZI JANA na LEO hajabadilia aka crush lady aka POPO aka mla ujana............. kesho utasikia yuko na Yahaya

She is just keen enough to be with ME, MYSELF and I.

Usihofu hawa wa humu JF ni wapita njia tuu wa kunipa company kwenye SHISHA, maalum nakutana nao ze club clubbing till morning

Kasie.
 
You like to dance?

Love crushing more...

In da club on top of high building in the city centre....
Wallah kuna watu wanakula raha mjini.... Sikuwahi fika huku kileleni. .... nimefikishwa leo.... Juu ya ghorofa nala maraha na kucheza kama Saida Karoli. ..
 
Love crushing more...

In da club on top of high building in the city centre....
Wallah kuna watu wanakula raha mjini.... Sikuwahi fika huku kileleni. .... nimefikishwa leo.... Juu ya ghorofa nalo maraha na kucheza kama Saida Karoli. ..

Ni nani huyo bingwa aliyekufikisha kileleni leo?

Msalimie.
 
Ni nani huyo bingwa aliyekufikisha kileleni leo?

Msalimie.

Mwenyewe ananiita mamii mwanzo mwisho akibadilisha mamaa huku kashikilia kiuno hataki achia hata sekunde nasindikizwa hadi chooni khaaaa

I wanna fly fly high....... On top of the building dancing like a 5 yrs old kid... soo sweet
 
Eeeeh haya bana.

Msalimie lakini....
 
Eeeeh haya bana.

Msalimie lakini....

Akuuuuu simsalimii nisije nikabadili mwelekeo buree. Tukiwa tunapata staftahi kesho asubuhi ndo ntampa salamu zako. Saa hizi na ruka juu huku mikono juu uuhuuuuu
 
Akuuuuu simsalimii nisije nikabadili mwelekeo buree. Tukiwa tunapata staftahi kesho asubuhi ndo ntampa salamu zako. Saa hizi na ruka juu huku mikono juu uuhuuuuu
Teh life is YOLO Kasie,dance like there's nobody watching,

Sing like there's nobody listening,
And live like it's heaven on earth....

Enjoy it[emoji9]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…