Kwako Pascal Mayala natanguliza msamaha

Kwako Pascal Mayala natanguliza msamaha

wasumu

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2015
Posts
2,271
Reaction score
2,065
Kiuhalisia nimetenda mambo ya kuidanganya nafsi kwa kumfikiria mambo vibaya huyu ndugu mfano nilijua ni kilaza.

Kumbe nikajidanganya kumbe kuna watu wamechaguliwa na MUNGU ukimsema vibaya yeye hapati madhara wananzengo tuwe makini na watu kama hawa AM SORRY MAYALA
 
huenda YESU anakuja leo, si kwa misamaha hii inayotembezwa.
 
Mimi siombi msamaha

Sent from my SM-A105G using Tapatalk
 
mayara =mahera ni MTU mnafiki sana huyu siyo wakongelea humu! kabendera mwnyewe tu anajua alichomfanyia! Mayalla was jf ovyo sana!
 
Mfate PM mnazingua sana nyie mnaobeza watu msiowajua alafu , unaanza kuomba msamaha, utafikili mayalla nimme wako.
 
Nami naomba msamaha kwa wanaokaidi na kubeza maagizo ya Serikali ya kujikinga dhidi ya maambukizi ya ugonjwa wa CORONA kwa kuwaita [V]Wazembe[/B], Wapumbavu na Malofa.
 
Back
Top Bottom