ismailyy Senior Member Joined Jul 26, 2014 Posts 123 Reaction score 18 Sep 25, 2014 #1 kuhusu diploma ya Education hapo chuoni .nimeangalia 1st year wanaripot tar 18/10 ila kinachoshangaza nikwamba nacte walitwambia tutafungua tar 6/10 hvyo bac ufafanuzi wako nimuhimu sana tafadhali kwan tunashndwa kuelewa.
kuhusu diploma ya Education hapo chuoni .nimeangalia 1st year wanaripot tar 18/10 ila kinachoshangaza nikwamba nacte walitwambia tutafungua tar 6/10 hvyo bac ufafanuzi wako nimuhimu sana tafadhali kwan tunashndwa kuelewa.
L Lenin V.I.U JF-Expert Member Joined Mar 28, 2014 Posts 218 Reaction score 62 Sep 25, 2014 #2 kumbe hili ni president pekee ndo anaweza kutoa ufafanuzi? mi sio president napita tu